26/03/2026
Blackout Friday is here! ๐ค๐ฅ
Usiku wa burudani ya kiwango cha juu ukiambatana na vibes kali kutoka kwa DJ Tiger ๐ง
Karibu Gongo la Mboto, Dar es Salaam kwa experience usiyosahaulika!
๐
Saturday 27
๐ 18+ Only