21/05/2026
Mmepanga nini na washkaji/Mashosti weekend hii?
Karibuni Geez Grill ni furaha marafiki/ndugu wakikutana. Hii ni Package yetu pendwa yenye Mbuzi Mguu na mbavu, Kuku 2, Sausage 8, Samaki Mkubwa wa kuchoma, ina Chipsi, Potato Wedges, matunda na salad kwa 175,000 tu. Tupo Kigamboni kwa mwingira 0626262664 karibuni sana.