GMJ alcohol village

GMJ alcohol village alcohol & cigarettes

GMJ alcohol village wanakuletea huduma zifuatazo1, uhuzaji wa vinywaji vya kizungu na kiafrika2, ushauri wa aina ya kiny...
07/04/2023

GMJ alcohol village wanakuletea huduma zifuatazo
1, uhuzaji wa vinywaji vya kizungu na kiafrika
2, ushauri wa aina ya kinywaji unacho takiwa kutumia kulingana na hali yako
3, kukujuza aina ya vinywaji vyote duniani
4, kukujuza asili ya vinywaji (vinatokana nanini)
5, madhara na faida ya Kila kinywaji

Ofa zinazo tolewa na kwa wateja wake :
1, kwa mteja alie shiriki katika manunuzi ya vinywaji kwa zaidi ya mara tisa atakua na uwezekano wa kukopa vinywaji vya 30,000 TSH nakulipa kidogo kidogo kadri awezavyo ndani ya siku thelasini(30)
2, kwa mteja atakaye nunua vinywaji zaidi ya mara ishirini(20×) atakua na uwezo wa kukopa vinywaji vyenye thamani ya 50,000 TSH na atalipa kidogo kidogo kadri awezavyo ndani ya siku 30
3, mteja atakaye nunua vinywaji zaidi ya mara ( 31×) atakua na uwezo wakukopa vinywaji vyenye thamani ya 100,000 TSH na atalipa kidogo kidogo kadri awezavyo ndani ya siku 40 na ataelezwa kwakina vitu vinavyo tumiwa kwa utengenezaji wa kinywaji chake pendwa na atapewa card ya mteja Bora (BC) best customer cards na tshirt 👕 moja k**a yupo single, 2 tshirt k**a ni couple

Tupo dar es salaam mbezi Louis
Wasiliana nasi kwa huduma muruha
GMJ alcohol village tunaijua thamani yako ndani ya jamii yako.

Address

Mbezi Louis
Dar Es Salaam

Telephone

+255624835630

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GMJ alcohol village posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to GMJ alcohol village:

Share

Category