La exellence pub

La exellence pub Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from La exellence pub, Bar & Grill, Ilala boma, Dar es Salaam.

La Exellence Pub kwa huduma bora za vinywaji, chakula na shughuli mbali mbali k**a birthday party,harusi, event za vikundi, Sports lounge kwa michezo mbali mbali.

Tuko full stocked kwenye bar yetu. Weekend ndo ishafika muda wq kuinjoi
18/07/2026

Tuko full stocked kwenye bar yetu. Weekend ndo ishafika muda wq kuinjoi

Alhamis ndo imeanza na tupo hapa glass zinawaka baridiKaribuni Ilala boma
16/07/2026

Alhamis ndo imeanza na tupo hapa glass zinawaka baridi

Karibuni Ilala boma

Vinywaji baridi kwenye stock vinakusubiri wewe
15/07/2026

Vinywaji baridi kwenye stock vinakusubiri wewe

Misosi kutoka kwa machef wa kiwango, chakula kitamu na vinywaji vya chaguo lako vyote vinapaktikana hapaTupo : Ilala bom...
14/07/2026

Misosi kutoka kwa machef wa kiwango, chakula kitamu na vinywaji vya chaguo lako vyote vinapaktikana hapa

Tupo : Ilala boma ng'ambo ya kituo cha mwendokasi

Kumewaka hapa jaribu kufika mapema utazame mechi zote za kombe la dunia.
14/07/2026

Kumewaka hapa jaribu kufika mapema utazame mechi zote za kombe la dunia.

Hii ni bahari ya burudani, kiwanja pendwa kwa wanaojua burudani. Hapa hatuna usiku wala mchana ni kujiachia tu kwa shugh...
14/07/2026

Hii ni bahari ya burudani, kiwanja pendwa kwa wanaojua burudani. Hapa hatuna usiku wala mchana ni kujiachia tu kwa shughuli zote

Birthday party, harusi, baby shower, muziki na madj wakali

Tupo Illala boma, ng'ambo ya kituo cha mwenzokasi

Karibuni tupo wazi, tunakukaribisha kesho sikukuu ya saba saba kuenjoi na ndugu, familia na marafiki. Burudani zipo k**a...
06/07/2026

Karibuni tupo wazi, tunakukaribisha kesho sikukuu ya saba saba kuenjoi na ndugu, familia na marafiki. Burudani zipo k**a kawaida, chakula na muziki mzuri

Address

Ilala Boma
Dar Es Salaam
11010

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when La exellence pub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category