15/07/2026
https://www.facebook.com/share/p/15xDwCi9Xyh/
Afya with Veneranda,Ijue Misingi Ya Afya Yako
Elimu Ya Afya ,Wizara ya Afya Tanzania
*📢 KUELEKEA MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI 2026*
*Je, wewe ni mjamzito, mama anayenyonyesha au ni mzazi/mlezi wa mtoto chini ya miaka 2?*
Unapata changamoto za unyonyeshaji na jinsi ya kumlisha mtoto wako au unahitaji ushauri wa kitaalamu kuhusu lishe?
na haujui wapi utapata majibu ya maswali yako?
Jiunge sasa katika Kundi la WhatsApp la *CHAKULA NA LISHE TANZANIA* ambapo utapata fursa ya:
▪️Kuuliza maswali kuhusu lishe ya mama na mtoto.
▪️Kupata majibu sahihi kutoka kwa wataalamu wa lishe kutoka *Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania TFNC*
▪️Kujifunza mbinu bora za lishe kwa afya ya mama na mtoto.
Jiunge sasa kwa kubofya kiungo (linki) ifuatayo: https://chat.whatsapp.com/CVTMVyyJCX32aSpAF7oEgb