Dra'ch Sports News.

Dra'ch Sports News. SPORTS NEWS
Karibu upate habari zote za michezo hapa za nje na ndani ya Tz

17/04/2026

3390 likes, 47 comments. “ ”

20/01/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Salimu Mapombe, Īsmāīl Jūñīōr

Unatoa asilimia ngapi kwa huu U*i mpya wa Simba??Follow
21/07/2023

Unatoa asilimia ngapi kwa huu U*i mpya wa Simba??

Follow

Club ya Azam leo hii wamecheza mchezo wa kirafiki huko nchini Tunisia dhidi ya Al hilal.Mchezo huo umeisha kwa Azam kuib...
14/07/2023

Club ya Azam leo hii wamecheza mchezo wa kirafiki huko nchini Tunisia dhidi ya Al hilal.

Mchezo huo umeisha kwa Azam kuibuka na ushidi wa goli tatu kwa bila wafungaji ni Sidibe, Prince dune na Allissane Diao.

Mchezo huo ni kujipima kuelekea Msimu mpya wa NBC PREMIER LEAGUE pamoja na michuano ya Kimataifa.

Follow

🚨🚨 ⏩"Wapiga keleke washalala ? 𝙒𝘼𝙆𝙐𝘽𝙒𝘼 tukutane saa 5:30 usiku"⏩"Muda wa 𝗪𝗔𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 kusimamisha nchi unakaribia."⏩'Pakua na...
14/07/2023

🚨🚨

⏩"Wapiga keleke washalala ? 𝙒𝘼𝙆𝙐𝘽𝙒𝘼 tukutane saa 5:30 usiku"

⏩"Muda wa 𝗪𝗔𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 kusimamisha nchi unakaribia."

⏩'Pakua na Lipia Yanga APP📲 "

⏩"Sajili ya leo inakwenda kutenganisha maji na mafuta🔥"

Follow

  MSILALE MUDA WA WAKUBWANi leo tena muda ule ule jambo like like, unaambiwa weka tuweke...  Tutakuletea Update zote zit...
14/07/2023

MSILALE MUDA WA WAKUBWA

Ni leo tena muda ule ule jambo like like, unaambiwa weka tuweke...

Tutakuletea Update zote zitakazojili leo paleee mitaa ya kariakoo Kuna chuma linashuka tena leo..

Follow

Beki wa zamani wa Man City Benjamin Mendy amekutwa hana hatia katika kesi ya kubaka na kesi ya kufanya jaribio la kubaka...
14/07/2023

Beki wa zamani wa Man City Benjamin Mendy amekutwa hana hatia katika kesi ya kubaka na kesi ya kufanya jaribio la kubaka.

Baada ya kutoka mahakamani, ameulizwa maswali mengi na waandishi wa habari lakini Mendy amejibu neno moja tu “Alhamdulillah”

Mapema mwaka huu Mendy alikutwa hana hatia kwenye kesi sita za kubaka na moja ya unyanyasaji wa kijinsia.

Baraza la waamuzi lilishindwa kufanya maamuzi katika mash*taka mawili na leo ndio wameyafanya na beki huyo Mfaransa amekutwa hana hatia.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 28 ambaye kwa sasa hana timu. alianza kush*takiwa Agosti 2021 na wanawake wanne tofauti, wakieleza kuwa matukio hayo ya ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia yametokea kati ya Oktoba 2020 na Agosti 2021.

Wananchi mwaga comment hapo chini.Follow
12/07/2023

Wananchi mwaga comment hapo chini.

Follow

 : JONAS GERALD MKUDE IS GREEN 💚💚 AND YELLOW 💛🟡⏩Mchezaji mkongwe wa zamani wa club ya Simba Jonas Mkude ametambulishwa r...
12/07/2023

: JONAS GERALD MKUDE IS GREEN 💚💚 AND YELLOW 💛🟡

⏩Mchezaji mkongwe wa zamani wa club ya Simba Jonas Mkude ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa club ya Yanga.

⏩Mkude amesaini mkataba wa mwaka mmoja kutumikia wananchi hao.

⏩ Wananchiiii vipi hapo? toa maoni yako.

Follow

Yanga hawapoi, tukutane Yanga App.Can you guess, ni nani huyo?????.Follow
12/07/2023

Yanga hawapoi, tukutane Yanga App.

Can you guess, ni nani huyo?????.

Follow

Address

Mbeya

Telephone

+255755563690

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dra'ch Sports News. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Dra'ch Sports News.:

Share

Category