Ujamaa Sound - Nyumbani Kwanza

Ujamaa Sound - Nyumbani Kwanza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ujamaa Sound - Nyumbani Kwanza, Adult Entertainment Club, Manyara.

''Ujumbe. Tunatumia nguvu ya elimu ya muziki kuwasaidia vijana walio hatarini na kuwasaidia kushinda vizuizi vyao na kuw...
17/12/2019

''Ujumbe. Tunatumia nguvu ya elimu ya muziki kuwasaidia vijana walio hatarini na kuwasaidia kushinda vizuizi vyao na kuwa watu wazima wanaojitosheleza. _Silvervanny Tz

Kuna jinsi nyingi ambazo mtu anaweza kujifunza kusoma muziki. Jinsi moja ni ile ya kufanya mazoezi ya pitch na rhythm pe...
03/12/2019

Kuna jinsi nyingi ambazo mtu anaweza kujifunza kusoma muziki. Jinsi moja ni ile ya kufanya mazoezi ya pitch na rhythm peke yake kisha kuunganisha. Katika kuzingatia hilo nimeandaa mazoezi ya pitch kwa ngazi kuu (major scale) ambayo yanasaidia kuwa na uhakika wa noti katika ngazi kuu kabla ya kuanza kuimba melodi zenye mikong'osio (rhythm) tofauti na noti zilizochanganywa. By Ujamaa Sound

NYUMBANI KWANZA: Amani na Upendo ndio msingi wa mafanikio ingawa kwenye music kunahatua nyingi kufikia malengo, Imani ye...
22/11/2019

NYUMBANI KWANZA: Amani na Upendo ndio msingi wa mafanikio ingawa kwenye music kunahatua nyingi kufikia malengo, Imani yetu bado mungu yupo nasi...Ahsante sana Mungu wetu.

Leo katika kikao cha pamoja na Wasanii wa wilaya mbuli -BABATI NA MBULU

Address

Manyara

Telephone

0745317196

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ujamaa Sound - Nyumbani Kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share