Pub Fitu Mbafuni

Pub Fitu Mbafuni place to meet friends,talk,reading books and news paper,access free wireless connections and ofcoz e

05/06/2022

Historia ya umangi Rombo,maeneo ya usseri..
Mangi Matolo ni kati ya Wamangi wa Usseri waliokuwa maarufu sana katika historia.

Mangi Matolo na Mangi Malamia wote walikuwa ni watoto wa Mangi Kafuria wa Usseri.

Mangi Kafuria ndiye alipambana na majeshi ya Mangi Horombo akashindwa lakini baadaye ndiye aliyekuwa chanzo cha anguko la Mangi Horombo.

Baada ya Mangi Kafuria kufariki kiti cha umangi wa Usseri kilikaliwa na mtoto wake Malamia.

Mangi Malamia alitawala Usseri kwa muda mrefu na alikuwa imara pia lakini alipofariki mtoto wake aliyeitwa Kisuma alichukua madaraka lakini inasemekana hakukaa muda mrefu alipinduliwa na ndugu yake Malamia aliyeitwa Matolo.

Mangi Matolo ambaye ni ndugu yake Mangi Malamia aliitawala Usseri baada ya hapo kwa muda mrefu sana na kisha baada yake akarithisha kiti cha utawala kwa mtoto wake aliyeitwa Salakana.

Baada ya Salakana akaingia ndugu yake mwingine aliyeitwa Ndemasi kisha mtoto wa Salakana tena.

Hata hivyo inasemekana kuna mtoto wa Mangi Malamia aliyeitwa Nambua ambaye alikuja kufanywa kuwa Mangi wa Ngasseni baadaye wakati wa utawala wa Wajerumani.

28/06/2017
15/09/2016

Mashy town,
The home of beautiful people,
Wonderful weather,
Delicious food,
Calm climate and everything good

Breath taking scenes..
26/01/2016

Breath taking scenes..

Told ya..this place is beautiful!ukicheki hii manthari tu kwa muda unajisikia kivingine:stress zinatoka,nguvu zinaongeze...
13/12/2015

Told ya..this place is beautiful!
ukicheki hii manthari tu kwa muda unajisikia kivingine:stress zinatoka,nguvu zinaongezeka.
the scene makes you happy!

Happy birthday kid..."  Fitu Mbafuni # wishes you the best that there is...
09/12/2015

Happy birthday kid...
" Fitu Mbafuni # wishes you the best that there is...

29/08/2015

wakati wa umaskini kuwa sifa ya kiongozi bora umepita...!(mh freeman mbowe akimtetea lowasa leo kwa wanaumsakama kuwa ni tajiri..hafai kua kiongozi)....
wanaotuita malofa tuwaulize ni nani aliyetusababishia ulofa wetu..(mbowe huyo huyo akiwa jangwani).!....Wasemaji wa leo ukawa has made our day..

Address

Mashati Rombo
Kilimanjaro

Telephone

255713114793

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pub Fitu Mbafuni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share