10/11/2016
Aksanteni sana kwa likes 1000+ sasa, tunawashukuru sana na tunawapenda sana wateja wetu. Ahadi yetu kwenu ni kuendelea kuboresha huduma zetu kila idara (Hotel, Bar & Lodge)ili tuweze kukata kiu yenu na kukidhi mahitaji yenu yote katika kiwango cha hali ya juu kabisa.