Tafuta kazi/tafuta mfanyakazi hapa

Tafuta kazi/tafuta mfanyakazi hapa tunapokea vijana wa rika zote wasiokuwa na kazi pia tunatoa wafanyakazi ikiwa unahitaj kazi ama unat

kampuni ya vj gody delicious food & cattering services inatangaza nafasi ya kujifunza mapishi kwa vitendo na kufundiswa ...
22/09/2020

kampuni ya vj gody delicious food & cattering services inatangaza nafasi ya kujifunza mapishi kwa vitendo na kufundiswa jinsi ya kujitengenezea marketing yako mwenyewe kwa mda we mwezi mmoja ndani ya dodoma town fomu ni tsh. 10000 maelezo zaidi 0674424954 karibu sana nafasi ni za watu 15 tu

22/09/2020

kampuni ya vj gody delicious food & cattering services inatangaza nafasi ya kujifunza mapishi kwa vitendo na kufundiswa jinsi ya kujitengenezea marketing yako mwenyewe kwa mda we mwezi mmoja ndani ya dodoma town fomu ni tsh. 10000 maelezo zaidi 0674424954 karibu sana nafasi ni za watu 15 tu

20/11/2019

Kwa wakazi wa dodoma new carribean lounge inatangaza nafasi za kazi kwa upande wa bar nafasi zipo nne kwa kina dada counter pamoja na huduma piga cm 0657245597 waambie na wengine sambaza pia kwny magroup mbali mbali

NEW CARRIBEAN LOUNGE INATANGAZA NAFASI ZA KAZI KWA WAHUDUMU 6 WANAOTOKA NJE NA NDANI YA DODOMA CHAKULA NA MALAZI NI BURE...
13/08/2018

NEW CARRIBEAN LOUNGE INATANGAZA NAFASI ZA KAZI KWA WAHUDUMU 6 WANAOTOKA NJE NA NDANI YA DODOMA CHAKULA NA MALAZI NI BURE KABISA! K**A UNA NDUGU YAKO AU WEWE MWENYWE TUWASILIANE KUPITIA NAMBA 0657245597 au FIKA CARRIBEAN LOUNGE BARABARA YA NANE

01/07/2017

WAKAAZI WA DODOMA KUNA NAFASI YA KUJIFUNZA MAPISHI NA KULIPWA POSHO KILA SIKU KWA MIEZI 3 MAFUNZO NI BURE KABISA PIGA CM NO: 0657245597. UPATE MAELEKEZI ZAIDI KUNA NAFASI YA WATU KUMI TU

Elimu yoyote

Sifa uwe msafi na mkarimu

Tupo njia panda ya area d

Muda ni mchache pia unaweza kumjulisha na mwenzako pia

03/10/2015
20/07/2015

Home » Unlabelled » Jobs at Coca-cola Kwanza Limited Jobs at Coca-cola Kwanza Limited charles mangya Monday, July 20, 2015 COCA-COLA KWANZA LIMITED VACANCYTITLE; PRESELLER (SALESMAN) (2 POSTS) Coca-Cola Kwanza Limited is part of the only anchor bottler in Africa,(COCa-Cola Sabco) in the Coca-Cola Co…

21/03/2015

NAFASI NYINGINE KWA WATU WA DODOMA ANAHITAJIKA FUNDI CHEREHANI MZURI WA K**E NA AWE MSAFI APATIWE OFISI NA MASHINE KM UKO TYR PIGA CM NAMBA 0766441116

kwa wale wa dodoma na tanzania kwa ujumla mda wenu huu wa kutengeneza maixha yenu
12/01/2015

kwa wale wa dodoma na tanzania kwa ujumla mda wenu huu wa kutengeneza maixha yenu

29/10/2014

MSHIRIKI wa shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Feza Kessy, amemtaka mshindi wa taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu kuachia ngazi k**a kweli madai dhidi yake yanamgusa nafsi yake.Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Feza Kessy.“Yeye ndiye anajua ukweli, arudishe kiroh

29/10/2014

LIKE PAGE UPATE UPDATES ZETU INAEZA KUWA NDO BAHAT YAKO

Address

Dodoma

Telephone

766441116

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tafuta kazi/tafuta mfanyakazi hapa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share