22/09/2020
kampuni ya vj gody delicious food & cattering services inatangaza nafasi ya kujifunza mapishi kwa vitendo na kufundiswa jinsi ya kujitengenezea marketing yako mwenyewe kwa mda we mwezi mmoja ndani ya dodoma town fomu ni tsh. 10000 maelezo zaidi 0674424954 karibu sana nafasi ni za watu 15 tu