Mmanga Entertainment

Mmanga Entertainment Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mmanga Entertainment, Dance club & nightclub, Tabata/Kimanga, Dar es Salaam.

21/03/2021

INTELLIGENCE IS WHAT?
Swali hilo aliulizwa siku moja bwana Albert Einstein kule marekani akiwa k**a professor wa philosophy au mwite tu mtu mwenye elimu yake kubwa duniani maana bwana huyu alipata karibia elimu zote unazo zijua wewe 🤭Albert einstein ninani?alizaliwa mwaka 1879/march/18 ulm , Germany akaanza masomo hapa kisha akaenda Italia kisha akaenda kusoma swisse na kua mwalimu huko nakupata uraia wa swiss na akapata degree ya udaktar mwaka1896 akarudi German nakua bingwa wa mathematics na physics kisha akaenda marekani na kua professor huko kwa mianga mingi nakupata uraia wamarekani vijana wengi waleo wanamjua k**a mmarekani tu wala hawajui k**a alikua MGerman.albert einstein received honorary doctorate degrees in science, medecine and philosophy from many European and American universities. Albert einstein alifariki 18 April 1955 princeton (n j)new jersey u s a.siku mona Albert einstein aliulizwa what's the intelligence?:akili ni nini?au nini akili?waswahili bana na lugha twache tu Albert einstein akasema akili nikile kinacho baki baada yakutoa kilechote ulichosoma shuleni (nursery, primary, secondary, university)kinachobaki hapo ndo akili naomba nikuulize wewe na wewe muulize rafiki au kaka yako ndugu yako akitoa chote alichosoma shuleni atabaki nanini?hicho ndo chakujivunia sio degree maana kuna tofaut ya elimu na akili, waliofanya mambo makubwa duniani niwenye akili sio elimu ndomana watu hawajasoma wanaunda magari, ndege, waligundua kanuni nyingi ambazo tumekuja kutumia sisi wenye elimu hahah😄😄😄napia wenye akili wana wa ajiri wenye elimu haha, what's the intelligence?kwako wewe.ukitoa ulichosoma shule utabaki na chochote?

31/12/2018

Address

Tabata/Kimanga
Dar Es Salaam

Telephone

+255712600101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mmanga Entertainment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share