The New Nyama Chabes Bar

The New Nyama Chabes Bar Welcome to The New Nyama Chabes Bar

05/09/2017

Habari zenu wapendwa wetu tunapenda kuwakaribisha katika sehemu yetu ya burudani kupata vinywaji baridi na chakula kitamu na vilevile bila kusahau ni sehemu tulivu kwa ajili ya kuangalia mpira na kila jpili tuna kuwa na live band ya magoma moto wakitoa burudani karibuni sana....

31/12/2015

wapendwa wateja wetuu tunapenda kuwakaribishaa tuje tupate burudani ya mkesha wa mwaka mpya huku kukiwa na disco kabambe la dj msabatoo aka dj G kwenye mashine karibunii sananan

16/10/2015

Wateja wetu wapendwa wa Nyamachabes bar tumefungua page Yetu ya watsap kwa ajili ya wateja wetu kuwapa habari zozote za kiburudani zinazoendelea ivyo basi kwa atakayependa kuwepo kwenye page Yetu tunaomba Atutumie namba yake inbox ili tumuunganishe... karibuni

06/10/2015

Mamboo vp wadau wetuu salamaaa?

31/07/2015

Ni Ijumaaa Nyingine Tulivu Tunapenda Kuwakaribisha wadau,Marafiki,katika Disco la Nguvu Ndani Ya The New Nyama Chabes Bar Litaporomosha Na DJ Mkongwe SEYDOUU kwenye Mashineeee Hakuna Kiingilioo ni Bureeee, karibunii saanaaa

28/07/2015

mambo vp wadau wetu hamjamboo?

03/07/2015

mambo vp wadau mmeamkaje? napenda kuwakaribisha tena kwenye show yetu ya bendi ya mapacha watatu wakali wa town leo karibuni sanaaa

02/07/2015

wadau wetu wapenzi tunataka kuanzisha group yetu ya watsap ya the new nyama chabes ivyo basi tunawaomba mtutumie namba zenu inbox ili tupate kuwaunganishaa haraka iwezekanavyooo karibuni sana

02/07/2015

wadau wetu tunapenda kuwakaribisha siku ya Ijumaa ya tarehe 3.7.2015 kutakuwa na onyesho maalumu ya Bendi ya Mapacha Watatu Wakali Wa Town Wazee Wa Tuzoo Kiingilio ni Elfu 5000 tuu karibuni sanaaaa

20/06/2015

K**a kawa leo ni ndani ya The New Nyama Chabes karibuni tucheze Disco na Dj Seydou kwenye mashine.....

Wazee wa Ngwasuma ndani ya Nyama chabes ilikuwa ni balaa tulishereehekea vizuri sana na Tuzo yao ya Bendi Bora Ya Mwaka ...
20/06/2015

Wazee wa Ngwasuma ndani ya Nyama chabes ilikuwa ni balaa tulishereehekea vizuri sana na Tuzo yao ya Bendi Bora Ya Mwaka Hapana Chezea Nyama chabes wewe mlipuko wa burudani ndo kwanza unaanza karibuni

19/06/2015

Wadau wetuu k**a kawa leo ndani ya Nyama Chabes karibuni sanaa tuchezee Disco la Ukweeeliii ni kila Siku Ya Ijumaa,Jmosi na Jpili kwenye Mashine Atakuwepo Dj Mkongwe, mtaalamu wa Mixer Dj SEydouuuuuu, karibuni saaannaaaaaaa

Address

51402
Dar Es Salaam

Telephone

0754051402

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The New Nyama Chabes Bar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category