Frisha ARENA

Frisha ARENA Get your hair cut and dressed,your nails shaped and nourished,your car washed and repaired WHILE you EAT,DRINK AND GET ENTERTAINED.

Frisha Arena Pub ya kisasa,iliyosheheni burudani nyingi zinazopendwa na vijana ,watu wa makamo pamoja na wazee kwa kiasi chake.Wahudumu waliopo ni Bomba na wenye Ustaarabu wa kutosha sana.Kwetu sisi mteja ni Rafiki yetu wa karibu sana.Karibu sana ULE BATA za kutosha,upate msosi wa uhakika,Muziki kwa mtindo wa DVJ unapigwa kila weekend kuanzia Alhamisi mpaka Jumapili.Mipira yote ya Ligi zote kuanzia VPL,LA LIGA,BUNDESLIGA,SERIE A,B bila kusahau LIGUE1 na mashindano mengine makubwa ya kimichezo na muziki huonyeshwa live kwenye luninga zetu Sita pamoja na screen kubwa tunayoonyesha kwa kutumia Projector.Karibu sana MDAU WETU,MSHKAJI WETU WA UKWELI.

Address

Tabata Chang'ombe
Dar Es Salaam
BOX1983

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Frisha ARENA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Frisha ARENA:

Shortcuts

Share

Category