Ajuae Mola

Ajuae Mola Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ajuae Mola, Sports bar, 0765717125, Dar es Salaam.

24/06/2024
TAARIFA KUTOKA SIMBA 🔥 🔥 🔥 Baada ya tajiri wa Simba, Mohammed Dewji kutangaza utawala mpya ndani ya timu hiyo imeripotiw...
18/06/2024

TAARIFA KUTOKA SIMBA 🔥 🔥 🔥

Baada ya tajiri wa Simba, Mohammed Dewji kutangaza utawala mpya ndani ya timu hiyo imeripotiwa kwamba, Klabu ya Simba ipo kwenye mazungumzo na beki wa kushoto wa timu ya taifa ya Burkina Faso 🇧🇫 na FC Lupopo ya DR Congo, Valentin Nouma (24) kwa ajili ya kuipata huduma yake.

Simba ambayo imepanga kujiimarisha zaidi kuelekea msimu ujao, inaamini kwamba beki huyo anayecheza kikosi cha Burkina Faso sambamba na kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki, anaweza kuwa mtu sahihi kwao.

Uamuzi wa Simba kusaka beki wa kushoto umekuja baada ya kumtumia kwa muda mrefu nahodha wao, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ ambaye anaonekana mpinzani wake ameshindwa kupatikana.

Mara baada ya kumaliza majukumu ya Kitaifa,Beki wa  Klabu ya Yanga, Ibrahim Bacca  amerejea visiwani Zanzibar na kwenda ...
18/06/2024

Mara baada ya kumaliza majukumu ya Kitaifa,Beki wa Klabu ya Yanga, Ibrahim Bacca amerejea visiwani Zanzibar na kwenda kutoa misaada kwa watoto wenye uhitaji.

Hongera sana, Kamanda.

MSIMAMO JINSI ULIVYO KWENYE KUNDI LETU
15/06/2024

MSIMAMO JINSI ULIVYO KWENYE KUNDI LETU

Address

0765717125
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ajuae Mola posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category