13/03/2020
Hakuna chochote duniani unaweza kucompare na mapenzi ya wanawake kwa wanaume.
Pamoja na uzuri,unadhifu, urembo na utamu waliokuwa nao wanawake wengi pia wameumbwa na kujali, kuthamini, huruma, kusamehe, upole na upendo wa kweli na kipekee. K**a wewe ni mtu wake atapanda mlima atapita kwenye maji na hata matope kwa ajili yako no matter how youโve acted out au kumfanyia au kuhitaji afanye atakusupport na kukupa moyo hata wakati ukiwa uko mpweke, umechoka au hauna kitu. Hata kuudumia wakati afya inayumba atakushika mkono kuongea na wewe, kukupa moyo na kukuchekesha hata k**a kuna watu wanakusema atakulinda k**a kweli ni mtu wake na kweli anakupenda. Hatojali unafanya nini na hata k**a rafiki zake watakusema vibaya hatojali, k**a wewe ukikasirika unabamiza mlango hatojali. She will give you her very best and then some,and keep right on trying to win over your heart, hata k**a utajifanya vitu vyote alivyokufanyia havitoshi kumfanya ndio changuo lake atakuwa mpole. Hayo ndio mapenzi ya mwanamke kwa mtu wake anayempenda.
Na hivi ndivyo wanavyotarajia mapenzi yetu kwao in return. Muulize mwanamke yeyote what kind of love she wants from a man? Utawasikia wanasound hivi I want him to be humble and smart, fun and romantic, sensitive and gentle, and, above all, supportive.Nataka aniangalie machoni aniambie mimi ni mzuri na anaridhika na mimi and who is vulnerable enough to cry when heโs hurting, mwanaume ambaye atanifahamisha kwa mama yake akiwa na tabasamu uso kwake, ambaye anapenda watoto na hata wanyama na ambaye atakuwa tayari kubadilisha diapers and wash dishes and do it all without me having to ask. And if he has a nice body and a lot of money and expensive shoes without scuffs, that would be great, too. Amen. Naomba kuwafahamisha kwamba expecting that kind of love that perfection from a man is unrealistic huo ndio ukweli na naundika hapa. Itโs not gonna happen, no way no how. Because a manโs love isnโt like a womanโs love, Usichanganyikiwe sisemi hatuwezi kupenda nachosema mapenzi yetu ni tofauti much more simple, direct, and probably a little harder to come by. A man who is in love with you hawezi kukupigia simu kila baada ya nusu saa kukwambia anakupenda na anaweza asicheze na nywele wala mikono yako mkiwa wenyewe ufukweni lakini bado anakupenda sana tu. Hapo kuna case ya malezi, background, social, kujichanganya, dating history, manhood na vitu vingine vingi. All the same wengi wetu hatutaki kujifunza tunaona k**a tunajua already which is not true kila kitu ni somo na kuna changes zinatokea kila siku. K**a wewe ni mdada, mke, mama, gf mchepuko na umegundua mtu wako anakupenda kweli kwa dhati ila anamiss vitu flani yaani hana zile swagga, taste na flavours unazopenda nenda nae taratibu jaribu kumbadilisha.Unajua, you might find that the man standing in front of you is indeed, giving you his all and then some. How do you know when a man loves you? Tembelea Eric Saul youtube @