Bongossip

Bongossip Tanzanian Gossip News & Tanzanian Entertainment News | Download Tanzanian Music | Watch Tanzanian Mu

Serikali kwa ushirikiana na wadau wengine imejipanga kuendelea kukabiliana na majanga yanayoikumba nchi ili kuhakikisha ...
29/01/2019

Serikali kwa ushirikiana na wadau wengine imejipanga kuendelea kukabiliana na majanga yanayoikumba nchi ili kuhakikisha inashughulikia na kutatua majanga hayo pindi yanapotokea. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Bunge na Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi Januari 28, 2019 wakati akifungua warsha ya kupunguza madhara ya maafa nchini na kuimarisha uthabiti kwa nchi na jamii dhidi ya majanga ya asili katika ukanda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara. [ 422 more words ]

Tanzanian Gossip News & Tanzanian Entertainment News | Download Tanzanian Music | Watch Tanzanian Music Videos & Everything from Bongoland | Udaku Bongo na Burudani Zote Duniani | Tanzania Gossip News | Tanzania Music |

New post added at BonGossip - Bongo Gossip - Udaku Hardcore - Serikali Kuendelea Kukabiliana Na Majanga NchiniSerikali k...
29/01/2019

New post added at BonGossip - Bongo Gossip - Udaku Hardcore - Serikali Kuendelea Kukabiliana Na Majanga Nchini
Serikali kwa ushirikiana na wadau wengine imejipanga kuendelea kukabiliana na majanga yanayoikumba nchi ili kuhakikisha inashughulikia na kutatua majanga hayo pindi yanapotokea.Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Bunge na Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi Januari 28, 2019 wakati akifungua warsha ya kupunguza madhara ya maafa nchini na kuimarisha uthabiti kwa nchi na jamii dhidi ya majanga ya asili katika ukanda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara.Tarishi alibainisha jitihada zinazofanywa na Serikali ili kukabili maafa ikiwa ni pamoja na kuendelea kuelimisha umma juu ya umuhimu wa kuimarisha ustahimilivu wa majanga ya asili kwa kuongeza idadi ya wilaya zenye mipango ya kupunguza madhara ya maafa, kuboresha mifumo ya tahadhari za awali, kuongeza utoaji wa elimu kwa umma na kuimarisha shughuli za kujiandaa, kukabili na kuimarisha mfumo wa uratibu wa masuala ya maafa.“Kwa kuzingatia Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Miaka wa Mitano, 2016/17- 2020/21 tutaendelea kuimarisha ustahimilivu wa majanga ya asili pamoja na kukabili majanga kwa kuzingatia utekelezaji wa malengo ya msingi ya Mfumo wa Sendai wa Kupunguza Madhara ya Maafa wa mwaka 2015 – 2030, tumedhamiria kuhakikisha tunakabiliana na majanga ili kujiletea maendeleo,”alisema TarishiAliongezea kuwa, kwa kuzingatia majanga yanayoikabili nchi ikiwemo mafuriko nchi haina budi kuwa mikakati hiyo ili kuhakikisha inakabili na kuweka mikakati yenye tija katika masuala ya menejimenti ya maafa nchini.Tarishi alibainisha kuwa, mafuriko yamekuwa na athari nyingi kwa kulinganisha na majanga mengine yanayoikabili nchi mara kwa mara kwa kuzingatia takwimu zilizopo kwa sasa.“Takwimu zinaonesha kuwa kwa kipindi cha Januari hadi Desemba, 2018 mafuriko yameathiri wilaya 50 na kusababisha vifo kwa watu 71, majeruhi kwa watu 64, kuharibiwa nyumba 15,802 kwa viwango tofauti, kuathiri miundombinu katika shule 43, mashamba ya mazao mbalimbali, na vituo vya afya,”alisisitiza TarishiAlieleza kuwa, takwimu zilizopo tangu tupate uhuru nchi imeathiriwa na ukame zaidi ya mara 18 ikimo yale ya mwaka 2006/2007 na 2007/2008 ambayo yaliathiri zaidi mikoa ya Arusha, Dodoma, Iringa, Kilimanjaro, Manyara, Shinyanga, Lindi, Singida, Tabora na Mwanza.Sambamba na hilo Ukame mwingine mkubwa ulitokea mwaka 2008/2009 ulioathiri zaidi mikoa ya kaskazini ya nchi hasa Arusha na Manyara. Mikoa ambayo mara nyingi huathiriwa na ukame ni Dodoma, Singida, Tabora na Shinyanga, ambayo kawaida hupata mvua ya chini kwa kiwango cha kati ya milimita 200 – 600 kwa mwaka.Naye Mkuu wa Sekretarieti ya Kupunguza Madhara ya Maafa ya Umoja wa Mataifa kwa Kanda ya Afrika, Amjad Abbashar, alieleza mipango mikakati ya kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali kwa kuzingatia ongezeko la madhara yatokanayo ya maafa ikiwemo vifo, upotevu wa makazi, pamoja na uharibifu wa mali za watu.“Tutaendelea kushirikiana na kuhakikisha tunakabili na kuzuia maafa yasitokee pale itakapotokea ili kuendelea kuwa na maendeleo endelevu katika mazingira tuliyonayo,”alieleza AbbasharKwa upande wake Mwakilishi Mkazi wa Taasisi za Umoja wa Mataifa nchini Tanzania,Alvaro Rodriques, aliwataka wajumbe kuitumia fursa ya warsha hiyo kwa kuzingatia mada zitakazowasilishwa ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa na wataalam na mikakati yenye kutatua madhara yatokanayo na majanga na kuahidi kuendelea kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Serikali ya Tanzania katika kushughulikia maafa.Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari K**a Hizi Kirahisi Zaidi=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Tanzanian Gossip News & Tanzanian Entertainment News | Download Tanzanian Music | Watch Tanzanian Music Videos & Everything from Bongoland | Udaku Bongo na Burudani Zote Duniani | Tanzania Gossip News | Tanzania Music |

MAMBO ni moto ndani ya Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuwachukulia hatua wachezaji ...
29/01/2019

MAMBO ni moto ndani ya Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuwachukulia hatua wachezaji wote wanaodaiwa kutoroka kambini na kwenda kufanya starehe wakati wakijua wanakabiliwa na mechi ngumu. Usiku wa kuamkia Ijumaa, baadhi ya wachezaji wa Simba ambao ni Haruna Niyonzima, Jonas Mkude, Shiza Kichuya, Pascal Wawa, Mohammed Ibrahim ‘Mo’, Mzamiru Yassini pamoja na Hassan Dilunga walidaiwa kutoroka kambini na kwenda kufanya starehe wakati wakijua kesho yake wanakabiliwa na mechi ngumu ya Nusu Fainali ya Michuano ya SportPesa dhidi ya Bandari ya Kenya. [ 166 more words ]

Tanzanian Gossip News & Tanzanian Entertainment News | Download Tanzanian Music | Watch Tanzanian Music Videos & Everything from Bongoland | Udaku Bongo na Burudani Zote Duniani | Tanzania Gossip News | Tanzania Music |

Muigizaji mahiri Bongo, Irene Paul amemshauri muigizaji mwenziye, Kajala Masanja, amtoe mtoto wake Paula mitandaoni na k...
29/01/2019

Muigizaji mahiri Bongo, Irene Paul amemshauri muigizaji mwenziye, Kajala Masanja, amtoe mtoto wake Paula mitandaoni na kumzuia kabisa kujihusisha na masuala ya mitandao iwe Instagram au Whatsapp kwa muda mpaka pale akili ya mtoto huyo itakapokuwa sawa. Irene ametoa ushauri huo kwa Kajala kufuatia yanayoendelea mitandaoni hivi sasa ambapo watu mbalimbali wamekuwa wakimshambulia mtoto huyo kutokana na kutofanya vizuri kwenye mtihani wake wa kidato cha nne. More: Kajala Paula Atajiua Huyo Mtoe Mitandaoni- Irene Poul

Tanzanian Gossip News & Tanzanian Entertainment News | Download Tanzanian Music | Watch Tanzanian Music Videos & Everything from Bongoland | Udaku Bongo na Burudani Zote Duniani | Tanzania Gossip News | Tanzania Music |

New post added at BonGossip - Bongo Gossip - Udaku Hardcore - Kajala Paula Atajiua Huyo Mtoe Mitandaoni- Irene PoulMuigi...
29/01/2019

New post added at BonGossip - Bongo Gossip - Udaku Hardcore - Kajala Paula Atajiua Huyo Mtoe Mitandaoni- Irene Poul
Muigizaji mahiri Bongo, Irene Paul amemshauri muigizaji mwenziye, Kajala Masanja, amtoe mtoto wake Paula mitandaoni na kumzuia kabisa kujihusisha na masuala ya mitandao iwe Instagram au Whatsapp kwa muda mpaka pale akili ya mtoto huyo itakapokuwa sawa.Irene ametoa ushauri huo kwa Kajala kufuatia yanayoendelea mitandaoni hivi sasa ambapo watu mbalimbali wamekuwa wakimshambulia mtoto huyo kutokana na kutofanya vizuri kwenye mtihani wake wa kidato cha nne.
Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari K**a Hizi Kirahisi Zaidi=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Tanzanian Gossip News & Tanzanian Entertainment News | Download Tanzanian Music | Watch Tanzanian Music Videos & Everything from Bongoland | Udaku Bongo na Burudani Zote Duniani | Tanzania Gossip News | Tanzania Music |

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Barakah The Prince amedaiwa kuelekeza chini ya ulinzi siku ya Leo kwa kile kinachotajwa ...
29/01/2019

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Barakah The Prince amedaiwa kuelekeza chini ya ulinzi siku ya Leo kwa kile kinachotajwa ni utapeli ambao Msanii ameufanya. Siku ya jana kuna video ilisambaa kwenye Mitandao ya kijamii iliyomuonyesha Barakah akiwa anabishana na maaskari ambao walikuwa wanamk**ata na mara moja ilisemekana aliwekwa chini ya ulinzi na kupelekwa kituoni. Stori za chini ya kapeti zinadai kuwa Barakah aliokuwa polisi Baada ya kudaiwa kufanya utapeli ambapo inadaiwa alimtapeli mdada mmoja kiasi Chan shilingi milioni tano kwa ahadi ya kumpa Penzi Lakini Baraka aliishia kuchukua pesa hiyo na kununua gari. [ 63 more words ]

Tanzanian Gossip News & Tanzanian Entertainment News | Download Tanzanian Music | Watch Tanzanian Music Videos & Everything from Bongoland | Udaku Bongo na Burudani Zote Duniani | Tanzania Gossip News | Tanzania Music |

Miss Tanzania mwaka 2008 Jackline Chuwa amepatwa na fedheha ya mwaka Baada ya kudaiwa kufu­maniwa na Mume wake wa ndoa m...
29/01/2019

Miss Tanzania mwaka 2008 Jackline Chuwa amepatwa na fedheha ya mwaka Baada ya kudaiwa kufu­maniwa na Mume wake wa ndoa miezi miwili Baada ya kufunga ndoa. Gazeti la Ijumaa Wikienda linaripoti kuwa, Chuwa alifumaniwa na mume wake Leonis Ngasa akiwa na mwanaume mwingine (jina halikupa­tikana mara moja) hivi karibuni wakati ndoa yao ikiwa ingali na miezi miwili tu na ushee. [ 167 more words ]

Tanzanian Gossip News & Tanzanian Entertainment News | Download Tanzanian Music | Watch Tanzanian Music Videos & Everything from Bongoland | Udaku Bongo na Burudani Zote Duniani | Tanzania Gossip News | Tanzania Music |

New post added at BonGossip - Bongo Gossip - Udaku Hardcore - Miss Tanzania Afumaniwa Miezi Miwili Baada Ya NdoaMiss Tan...
29/01/2019

New post added at BonGossip - Bongo Gossip - Udaku Hardcore - Miss Tanzania Afumaniwa Miezi Miwili Baada Ya Ndoa
Miss Tanzania mwaka 2008 Jackline Chuwa amepatwa na fedheha ya mwaka Baada ya kudaiwa kufu­maniwa na Mume wake wa ndoa miezi miwili Baada ya kufunga ndoa.Gazeti la Ijumaa Wikienda linaripoti kuwa, Chuwa alifumaniwa na mume wake Leonis Ngasa akiwa na mwanaume mwingine (jina halikupa­tikana mara moja) hivi karibuni wakati ndoa yao ikiwa ingali na miezi miwili tu na ushee.Imedaiwa kuwa, tukio hilo limetokea maeneo ya Tabata Shule jijini Dar am­bapo shuhuda wa tukio hilo, alilitonya Ijumaa Wikienda kwamba baada ya kufumania, mume wa Jack (Ngasa) alijikuta ametupwa nyuma ya nondo Kituo cha Polisi Tabata-Shule kwa tuhuma za kumpa ‘vitasa’ mkeweBaada ya sakata hilo Gazeti la Ijumaa lilimsaka Miss Tanzania ili kupata ukweli Wake hii ya sakata hilo ambapo walitaka kujua k**a yupo Muhimbili anapatiwa matibabu k**a ilivyodaiwa ambapo alipokea simu na kudai kwamba hajafumaniwa lakini akasema amepata matatizo.Hizo habari ni za uongo sijui hata mmezitoa wapi jamani kwanza mimi wala sipo Dar nipo Arusha na nina matatizo nimepata ajali kwa sasa nipo hospitali napatiwa matibabu sipendi kuchafuliwa na habari za uongo ja­mani“.Mimi mwenyewe nimesikia tu yupo kituoni lakini sijajua kapatwa na nini, hilo gari ni langu ila mume wangu hajanifumania huo ni uongo, msiamini kila mnachosikia kwa watu jamani, wengine wana lengo la kunichafua tu mi’ sipendi kabisa hayo mambo”.GPL
Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari K**a Hizi Kirahisi Zaidi=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Tanzanian Gossip News & Tanzanian Entertainment News | Download Tanzanian Music | Watch Tanzanian Music Videos & Everything from Bongoland | Udaku Bongo na Burudani Zote Duniani | Tanzania Gossip News | Tanzania Music |

Muigizaji wa Bongo movie na mrembo anayetrend Hivi sasa kwenye Mitandao ya kijamii Irene Uwoya ameibuka na kusema kuwa h...
29/01/2019

Muigizaji wa Bongo movie na mrembo anayetrend Hivi sasa kwenye Mitandao ya kijamii Irene Uwoya ameibuka na kusema kuwa hana tatizo na aliyekuwa mume Wake Dogo Janja. Irene Uwoya na Ex Wake staa wa Bongo fleva Dogo Janja waliweka wazi kuwa wameachana siku chache zilizopita baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miezi kadhaa. Baada ya kuingia kwenye mvutano mkali Wiki iliyopita na hata kurushiana madongo kwenye Mitandao ya kijamii hatimaye Uwoya amesema hana Bifu na Dogo Janja na Hivi sasa ana maisha yake na hata ikitokea amealikwa kwenye engagement party ya Dogo na Mpenzi Wake Mpya ataenda. [ 44 more words ]

Tanzanian Gossip News & Tanzanian Entertainment News | Download Tanzanian Music | Watch Tanzanian Music Videos & Everything from Bongoland | Udaku Bongo na Burudani Zote Duniani | Tanzania Gossip News | Tanzania Music |

New post added at BonGossip - Bongo Gossip - Udaku Hardcore - Irene Uwoya "Nipo Tayari Hata Kuhudhuria Harusi Ya Dogo Ja...
29/01/2019

New post added at BonGossip - Bongo Gossip - Udaku Hardcore - Irene Uwoya "Nipo Tayari Hata Kuhudhuria Harusi Ya Dogo Janja"
Muigizaji wa Bongo movie na mrembo anayetrend Hivi sasa kwenye Mitandao ya kijamii Irene Uwoya ameibuka na kusema kuwa hana tatizo na aliyekuwa mume Wake Dogo Janja.Irene Uwoya na Ex Wake staa wa Bongo fleva Dogo Janja waliweka wazi kuwa wameachana siku chache zilizopita baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miezi kadhaa.Baada ya kuingia kwenye mvutano mkali Wiki iliyopita na hata kurushiana madongo kwenye Mitandao ya kijamii hatimaye Uwoya amesema hana Bifu na Dogo Janja na Hivi sasa ana maisha yake na hata ikitokea amealikwa kwenye engagement party ya Dogo na Mpenzi Wake Mpya ataenda.Kwenye mahojiano aliyofanya na Millard Ayo, Uwoya ameweka wazi kuwa Ndoa Yake na Dogo Janja imevunjika Lakini sio kitu cha ajabu kwani ndoa nyingi zimeshawahi kuvunjika katika siku za nyuma.Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari K**a Hizi Kirahisi Zaidi=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Tanzanian Gossip News & Tanzanian Entertainment News | Download Tanzanian Music | Watch Tanzanian Music Videos & Everything from Bongoland | Udaku Bongo na Burudani Zote Duniani | Tanzania Gossip News | Tanzania Music |

Wakurugenzi watendaji wa halmashauri waliochepusha fedha za mradi wa malipo kwa matokeo (EP4R) sasa wamekalia kuti kavu ...
29/01/2019

Wakurugenzi watendaji wa halmashauri waliochepusha fedha za mradi wa malipo kwa matokeo (EP4R) sasa wamekalia kuti kavu baada ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako kuwaagiza wazirejeshe fedha hizo ndani ya siku mbili Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa maofisa na watendaji katika ngazi ya kanda, mikoa na halmashauri za mikoa ya Shinyanga na Mwanza jana Januari 28, 2019, Waziri Ndalichako ameagiza fedha hizo zirejeshwe ifikapo mwisho wa siku ya Jumatano Januari 30, 2019. [ 133 more words ]

Tanzanian Gossip News & Tanzanian Entertainment News | Download Tanzanian Music | Watch Tanzanian Music Videos & Everything from Bongoland | Udaku Bongo na Burudani Zote Duniani | Tanzania Gossip News | Tanzania Music |

New post added at BonGossip - Bongo Gossip - Udaku Hardcore - Waziri Ndalichako Atoa Siku Mbili kwa Waliokula Dedha za E...
29/01/2019

New post added at BonGossip - Bongo Gossip - Udaku Hardcore - Waziri Ndalichako Atoa Siku Mbili kwa Waliokula Dedha za Elimu Wazirudishe
Wakurugenzi watendaji wa halmashauri waliochepusha fedha za mradi wa malipo kwa matokeo (EP4R) sasa wamekalia kuti kavu baada ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako kuwaagiza wazirejeshe fedha hizo ndani ya siku mbiliAkizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa maofisa na watendaji katika ngazi ya kanda, mikoa na halmashauri za mikoa ya Shinyanga na Mwanza jana Januari 28, 2019, Waziri Ndalichako ameagiza fedha hizo zirejeshwe ifikapo mwisho wa siku ya Jumatano Januari 30, 2019.Mafunzo hayo yanahudhuriwa na maofisa elimu, wathibiti wa ubora, wakuu wa shule za sekondari na walimu wakuu wa shule za msingi kutoka mikoa hiyo miwili.Waziri Ndalichako ameelezea kushangazwa na kitendo cha baadhi ya wakurugenzi kulalamikia changamoto ya miundombinu ikiwemo vyumba vya madarasa katika maeneo yao huku fedha ambazo zingetumika kutatua changamoto hizi wakizitumia kwa matumizi mengine ikiwemo kulipana posho.“Kila nikitazama habari mpaka inakera kila mtu analalamika ujenzi wa madarasa mnamwambia nani? huo ni uzembe wenu“Mimi naangalia elimu bila malipo watoto wanakaa darasa moja mpaka 200, pesa tunaleta halafu nyie mnagawa mfanyakazi bora ikifika Jumatano tutaongea lugha nyingine.“Siwezi nikafurahia pesa yeyote inayopita kwenye mikono yangu nataka mrudishe fedha mtazitoa wapi hayatuhusu, nitampasia Jafo yeye atafunga goli” Alisema Waziri Ndalichako
Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari K**a Hizi Kirahisi Zaidi=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Tanzanian Gossip News & Tanzanian Entertainment News | Download Tanzanian Music | Watch Tanzanian Music Videos & Everything from Bongoland | Udaku Bongo na Burudani Zote Duniani | Tanzania Gossip News | Tanzania Music |

Address

Dar Es Salaam
255

Telephone

0757683414

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongossip posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share