Mavazi_yetu

Mavazi_yetu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mavazi_yetu, SINZA MORI, MTAA WA MEEDA, Dar es Salaam.

“Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “ONDOKA katika nchi yako, ACHA JAMAA YAKO na nyumba ya baba yako, uende katika ...
12/11/2023

“Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “ONDOKA katika nchi yako, ACHA JAMAA YAKO na nyumba ya baba yako, uende katika nchi nitakayokuonesha.

Nitakufanya WEWE kuwa taifa KUBWA, nitakubariki na kulikuza JINA LAKO, nawe UWE BARAKA.”

‭‭Mwanzo‬ ‭12‬:‭1‬-‭2‬ ‭BHN‬‬

Moja ya MCHAKATO muhimu wa kuelekea kwenye UKUU wako ni “Intentional Separation”.

Yaani, KUAMUA na KUKUBALI kuwa mbali na WATU, hasa ULIOWAZOEA.

Mungu alipotaka kumfanya Abraham kuwa MKUU na KUKUZA JINA LAKE, maagizo ya kwanza yalikuwa ni kutoka katika JAMII aliyoizoea, kwenda mbali na NDUGU na JAMAA zake.

Kuondoka inaweza kumaanisha: “Mental Separation”- Kuanza kuwaza tofauti na ndugu na jamaa zako wanavyowaza.

“Behavioural Separation” inayohusisha kuwa na tabia tofauti kabisa na walizonazo ndugu/jamaa zako au;

“Physical Separation” ambayo inahusisha kuondoka na kukaa mahali ambapo ni mbali na eneo ambalo ndugu/jamaa zako wapo.

Aina yoyote katika hizi, itakuwa na GHARAMA kubwa sana kwenye maisha yako, ila lazima uwe na UJASIRI wa kuifanya.

NAKUTAKIA JUMAPILI NJEMA.

https://chat.whatsapp.com/B9ci0VJUVVJLeVNhC8DbyW 0692432722

09/11/2023

Hakuna Watu Wasio Wa Muhimu

(There Are No Unimportant People)

Wewe ni yule ambaye umeitwa na Mungu kufanya kile alichokusudia wewe ukitimize hapa duniani.

Usiyaangalie maisha yako na kuhisi kuwa hakuna kitu ambacho unaweza ukakifanya.

Ni kweli kuwa hauwezi kufanya kila kitu kwa sababu haukuumbwa kuwa hivyo.

Umuhimu wako haupimwi kwenye yale usiyoweza kuyafanya, bali unapimwa kwenye huduma uliyoitiwa hapa duniani.

Watu wengi bado hawajaanza kufanya yale ambayo Mungu kawaitia kuyafanya kwa sababu wanafanya kwa kuigilizia yale yanayofanywa na wengine.

Mtu awezi akawa vile alivyokusudiwa kuwa mpaka pale atakapofanya kile anachopaswa kukifanya.

Maisha yako ni lazima yawe yale maisha ya kuleta utofauti hapa duniani ingawa tunatofautiana kwa kila mmoja wetu.

Umeumbwa kwa ajili ya kufanikiwa. Umepewa mbegu kwa ajili ya ukuu ndani yako. Ukuu wenyewe unatokana na kukitumia kipaji chako au uwezo wako wa asili.

Hivyo usijione sio wa muhimu, bali jione ni wa tofauti ambaye umeumbwa kwa ajili ya kutimiza jambo fulani hapa duniani.

K**a kuna mtu na msongo wa mawazo hajui pakuanzia mambo hayaendo njoo inbox tupige story tuu au nibeep ntakupigia 🥰🥰😘0692432722

Our 💯Raw/Unrefined/Organic/Original Sheabutter all hand made in Northern Ghana🔥🧡* *jumla vikopo 3 kwa 15,000/= Reja reja...
06/09/2023

Our 💯Raw/Unrefined/Organic/Original Sheabutter all hand made in Northern Ghana🔥🧡* *jumla vikopo 3 kwa 15,000/= Reja reja 7,000*/= :
✔️Moisture nzuri kwa Ngozi/Nywele aina zote utumika umri wote mtoto mpaka mzee
✔️Hutibu magonjwa mbalimbali ya Ngozi k**a pumu ya ngozi(Eczema)etc ✔️Inasaidia kufifisha michirizi ya uzazi na kawaida kwa wajawazito ni best moisturiser
✔️Inasaidia kuondoa weusi wa kuungua na cream kali pia athari ziletwazo na jua ✔️Inasaidia ngozi kuwa ng’avu na ya kuvutia(nyororo na yakupendeza24/7)
✔️Ni moisture nzuri kwa Nywele haina zote natural na dawa pia Kwan huzuia zisikatike
✔️Pia inatumiaka k**a base katika utengenezaji wa cream, lotion, sabuni, scrub, shampoo na etc.

Tupo Dodoma-kisasa Kutokea sheri Daraja la kwanza kwa mama k saloon *0692432722*

KUWA MJUZI WA MAPISHI KWA SIKU MOJA TU.NITAFUTE KWA NO 0692432722 𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐘𝐎𝐓𝐄 8 𝐍𝐈Sh 5000 Tu.KITABU KIMOJA 1 NI SH 1000...
03/08/2023

KUWA MJUZI WA MAPISHI KWA SIKU MOJA TU.
NITAFUTE KWA NO 0692432722
𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐘𝐎𝐓𝐄 8 𝐍𝐈Sh 5000 Tu.
KITABU KIMOJA 1 NI SH 1000 Tu.
1.➖Kitabu Cha Mapishi Mazuri
2.➖Kitabu Cha Mapishi ya Keki
3.➖Kitabu Cha Upambaji wa Keki
4.➖Kitabu Cha Vitafunwa
5.➖Kitabu Cha Juice za Matunda Part: 1
6.➖Kitabu Cha Juice za Matunda Part: 2
7.➖Kitabu cha Ice-Cream za Biashara
8.➖Kitabu Cha Lishe za Watoto

➖Ukihitaji Vitabu vyote 8 Utapatiwa kwa Ofa ya sh Elfu 5000 tu 👏👏👏

➖ HAMNA UTAPELI
👇👇👇
➖Tunakutumia Vitabu vyako baada ya kutuma muamala 👏👏
➖Tunakutumia Vitabu vyako Whatsapp vipenzi👌

(NI RAHISI SANA KUPATA VITABU VYAKO)
➖Nakutumia Vitabu vyako Whatsapp na utajisomea kwenye simu yako kwa muda wowote unaotaka bila ya kutumia bando 👌👌👌 Yaani ni Pambeeeee 👌👌👌👌👌. Karibu mwenyewe ujionee
➖Kitabu ni Softcopy
➖LUGHA YA VITABU : KISWAHILI
nitafute kwa namba 0692432722

0692432722
17/04/2023

0692432722

Gauni na kiatu vinauzwa 80,000Kwa pamoja0692432722
17/04/2023

Gauni na kiatu vinauzwa 80,000
Kwa pamoja

0692432722

Fundi anahitajika MorogoroChangamkia fursa0692432722
17/04/2023

Fundi anahitajika Morogoro
Changamkia fursa

0692432722

08/01/2023
Karibu katika punguzo la sikukukuumawasiliano0692432722
01/12/2020

Karibu katika punguzo la sikukukuu
mawasiliano
0692432722

Address

SINZA MORI, MTAA WA MEEDA
Dar Es Salaam

Telephone

+255657238291

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mavazi_yetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share