WECA PUB

WECA PUB The best bar at Chang'ombe area, Temeke, Dar es salaam.

Karibuni WECA Pub kwenye sikukuu ya Idd.
23/05/2020

Karibuni WECA Pub kwenye sikukuu ya Idd.

WECA Pub inakukaribisha kufurahi na marafiki siku ya sikukuu ya Idd. Tumekuandalia Burudani za kila aina ili kukufanya u...
23/05/2020

WECA Pub inakukaribisha kufurahi na marafiki siku ya sikukuu ya Idd. Tumekuandalia Burudani za kila aina ili kukufanya upate huduma bora za chakula na vinywaji.
-19

Karibuni WECA Pub tuweze kuburudika na kunywa pamoja.
10/08/2019

Karibuni WECA Pub tuweze kuburudika na kunywa pamoja.

WECA PUB management team inapenda kuwashukuru wateja wote na wadau waliofika siku ya tarehe 31 December, 2018 katika she...
02/01/2019

WECA PUB management team inapenda kuwashukuru wateja wote na wadau waliofika siku ya tarehe 31 December, 2018 katika sherehe ya kutimiza miaka 5 ya Pub yetu.

Mungu ni mwema sana nasi twamshukuru kwa kuifikisha miaka 5 katika biashara ya Bar.

Wahudumu wetu katika pozi.....
29/12/2018

Wahudumu wetu katika pozi.....

WECA Pub inakukaribisha katika kusherekea 5th Anniversary ya kuanzishwa  kwa Pub. Event yenyewe itakuwa ni siku ya mkesh...
28/12/2018

WECA Pub inakukaribisha katika kusherekea 5th Anniversary ya kuanzishwa kwa Pub. Event yenyewe itakuwa ni siku ya mkesha wa mwaka mpya tarehe 31 December, 2109 katika eneo la WECA Pub.

Karibuni wote.

24/12/2018

Merry Xmas to our customers.

Karibuni tuenjoy the weekend na marafiki.
08/12/2018

Karibuni tuenjoy the weekend na marafiki.

Thanks God its friday....
07/12/2018

Thanks God its friday....

Karibuni Marafiki na wadau WECA Pub.
06/12/2018

Karibuni Marafiki na wadau WECA Pub.

Baada ya Bonanza tulirudi uwanja wa nyumbani kujipongeza kidogo kwa vinywaji na chakula. Management ya WECA Pub inawashu...
30/10/2018

Baada ya Bonanza tulirudi uwanja wa nyumbani kujipongeza kidogo kwa vinywaji na chakula. Management ya WECA Pub inawashukuru wadau wote walioshiriki katika Bonanza la michezo pale DUCE.

WECA Pub tulialikwa kwenye Bonanza la michezo siku ya Jumapili 28th October na ndugu zetu Scorpion Pub wakishilikiana na...
30/10/2018

WECA Pub tulialikwa kwenye Bonanza la michezo siku ya Jumapili 28th October na ndugu zetu Scorpion Pub wakishilikiana na Smart members team. Team yetu iliwakilisha vyema.


Address

Chanwenyewe Street, Chang'ombe Area, Temeke Municipal
Dar Es Salaam

Telephone

0754495435

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when WECA PUB posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share