08/06/2026
π₯ HAKUNA PESA YA HARAKA MTAANI! KIZAAZAA KIMEANZA! π₯ CHINGA EPISODE 7
Kwenye Episode hii ya 7 mambo ni moto, na siri nzito zinaendelea kufichuka!
Je, msamaha unaweza kufuta maumivu ya kifo? Maximus anajikuta kwenye wakati mgumu sana anapokaa uso kwa uso na Mzee Chuma kuomba msamaha wa makosa yake ya zamani yaliyosababisha vifo kwenye familia. Je, Mzee Chuma atakubali yaishe?
π TAZAMA FULL EPISODE HAPA CHINI NA TUAMBIE KWENYE COMMENTS, USHAWAHI KUTAPELIWA NA HIZI ISHU ZA KUPANDA MBEGU? π