02/02/2017
Dear Golden J customers,
Karibuni sana leo kwenye siku yetu ya warembo.. "Golden J ladies free". Wadada wote watakaofika Golden J leo wataingia bure na pia watakaribishwa na wahudumu wetu kwa kupewa kinywaji cha kwanza cha bure ..... limit amount ya compementary drink leo ni TZS 5,000 sawa na bear moja.
Pia kwa ajili ya furaha ya ujio wa Christian Bella Hapa Golden J Lounge siku ya kesho tumeamua kuwa wanaume wote leo pia leo wataingia free ila vinywaji watanunua.
Wote mnakaribishwa!!!