Tona Electronics Centre

Tona Electronics Centre Tunauza Vifaa vya Umeme
Bei za Jumla na Rejareja✅
Tunapatikana Kariakoo
Call/Whatsapp 0689138049
(3)

Dolby audio yaani itakupa Sauti nzuri k**a ya SoundbarWarranty ya Uhakika Kabisa miaka MiwiliQuality Nzuri na Uimara wa ...
08/07/2026

Dolby audio yaani itakupa Sauti nzuri k**a ya Soundbar
Warranty ya Uhakika Kabisa miaka Miwili
Quality Nzuri na Uimara wa Hali ya Juu Sana
Bei Yake ni 750,000 Tu Free Wall Bracket
Kariakoo Masasi Street 0689138049

Alitop Nchi 40 Back in Stock zakawaida tuZipo Dukani zakutosha SanaBei yake ni 325,000 tu Unapata Stand ya BurePiga simu...
06/07/2026

Alitop Nchi 40 Back in Stock zakawaida tu
Zipo Dukani zakutosha Sana
Bei yake ni 325,000 tu Unapata Stand ya Bure
Piga simu au Whatsapp 0689138049

Home T ya Aiwa Watts 500 Nguvu yake kubwa sanaWale wa Masebene ya kina Fallypupa Zenu HiziInaoption Zote ya Bluetooth,FM...
06/07/2026

Home T ya Aiwa Watts 500 Nguvu yake kubwa sana
Wale wa Masebene ya kina Fallypupa Zenu Hizi
Inaoption Zote ya Bluetooth,FM na Flash mziki wake ni Mkubwa sana na Mzuri
Bei yake ni 460,000 tu Tupo kariakoo Masasi Street
Piga simu au Whatsapp 0689138049

Soundbar Zipo za Aina Tatu1.Yakwanza k**a Hii inakua na Bar Pekee Base na Speakers Zipo pamoja Humohumo2.Soundbar yapili...
06/07/2026

Soundbar Zipo za Aina Tatu
1.Yakwanza k**a Hii inakua na Bar Pekee Base na Speakers Zipo pamoja Humohumo
2.Soundbar yapili inakua Subwoofer na Bar Ambapo Subwoofer itakua na kazi yakutoa Base na Bar inakua na Speakers
3.Subwoofer,Base na Surrounding Speakers

05/07/2026

Mteja wa Mkoani Unaweza Lipia Bidhaa yako Tukusafirishie,Unaweza ukamuagiza ndugu yako Akaja ofisini akague Akutumie,Unaweza tupa Cargo yako Tukupelekee Mzigo
0689138049

Skyworth google TV androidUnaweza Ongeza Apps Utakazo Cricfy,Azam maxFrameless Screen HD kali sana FHD🔥Bluetooth support...
05/07/2026

Skyworth google TV android
Unaweza Ongeza Apps Utakazo Cricfy,Azam max
Frameless Screen HD kali sana FHD🔥
Bluetooth supportive,Ipo Dukani Kwetu kwa 490,000 Tu
Kariakoo Masasi Street Opposite Maendeleo Bank
0689138049

Merit & Happy Home Gas StoveJuu ni Kioo pia Wavu kwa Marit na Bana kwa HappyBei yake ni 55,000 tu kwa Jiko PekeeComplete...
05/07/2026

Merit & Happy Home Gas Stove
Juu ni Kioo pia Wavu kwa Marit na Bana kwa Happy
Bei yake ni 55,000 tu kwa Jiko Pekee
Complete Ni 70,000 Jiko,Pipe na Regulator
0689138049-Karibuni sana

Watu wa Chips mmefikiwa,Rahisisha kazi yako na Deep Fryers bora Kabisa za GlobalstarUmeme kidogo sana,Imara na Salama kw...
05/07/2026

Watu wa Chips mmefikiwa,Rahisisha kazi yako na Deep Fryers bora Kabisa za Globalstar
Umeme kidogo sana,Imara na Salama kwa Matumizi
Bei yake ni 145,000 tu Piga 0689138049
Karibuni

Itakupa Nafasi Kubwa sana Ujazo ni Lita 650Haina haja ya wateja Kuuliza Kitu flan kipo Bali Vyote wataviona,na Itakupa M...
04/07/2026

Itakupa Nafasi Kubwa sana Ujazo ni Lita 650
Haina haja ya wateja Kuuliza Kitu flan kipo Bali Vyote wataviona,na Itakupa Muonekano Mzuri sanaaa
Bei yake ni 1,870,000 Tu Kariakoo Masasi Street
Piga Simu au Whatsapp 0680138049

Tunatuma Mikoa yote kwa Uaminifu Mkubwa kabisaUnaweza muagiza nduguyo akaja Dukani au Ukafanya Malipo moja kwa Moja Tuka...
04/07/2026

Tunatuma Mikoa yote kwa Uaminifu Mkubwa kabisa
Unaweza muagiza nduguyo akaja Dukani au Ukafanya Malipo moja kwa Moja Tukakudafirishia
0689138049-Kariakoo Masasi Street

Address

Kariakoo, Masasi Street
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tona Electronics Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Tona Electronics Centre:

Shortcuts

Share