06/01/2023
Kwa mujibu wa sheria za Nchi ya Saudi Arabia ni marufuku Mwanaume kuishi na Mwanamke nyumba moja k**a hawajafunga ndoa lakini ni tofauti kwa Ronaldo na Mchumba wake Georgina.
Taarifa iliyochapishwa na Jarida la EFE, ni kuwa Ronaldo hatoguswa na sheria hiyo kwa sababu anachukuliwa k**a Mfanyakazi aliyekuja kuitangaza Nchi yao lakini bado Wanazuoni wa Saudi Arabia wanasisitiza kwamba Ronaldo amuoe Mpenzi wake ili maisha yaendelee.