Mapenzi yanaliza

Mapenzi yanaliza ndugu wapenda utuitaji matuxi kwenyeukulaxa tumavionjo namixiximuo ulio pitia ilaxio matuxi

02/09/2021

kupenda you bwana Kuna mdada ana nifuatilia x**a mie ximpendi ilayeye anafoxi lavu aliwai kunipa elfu30 bilakumwomba najuzi kanipa ximu yenyexamani ya laki2 nixhaulien nifanyeje wakati ximtaki

26/08/2021

ivi kuna axala ya kuwai kuolewa ama kuoa

Send a message to learn more

05/09/2020

naombeni uxhauli mwanamkenime kaanae ndani yamiaka miwili namapenzi nimemfunza mimwenyewe xaizi ananizalau nimfanyeje uyo

24/06/2020

Mambo vipi wapenzi watazamaji naomba uxhauri kwenu kwayario nikuta jinxinilivyotexeka nama penzi nilipenda xeemu ixiyopendeka mwanzo wamapenzi turianza vizuri namxina aritoka kijijini aripo fika kurizoea jiji ikawa nixhida kwanguaraarudi xambiri ukimuuliza unatoka wapi anakujibu kwa rafiki angu jinxi aripo zoea nikimwomba tendo randoa ananiambia nimechoka kiraxiku ivyo naombeni uxhauri nimfanyeje uyo

24/06/2020

Address

Bunju

Telephone

+255621832316

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mapenzi yanaliza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category