Uzunguni City Park

Uzunguni City Park Restaurant full of African and continental dishes. Sports bar with varieties of drinks as well as s
(514)

EID MUBARAK❤️ Cc….
10/04/2024

EID MUBARAK❤️
Cc….

Habari za muda huu!? Tunapenda kuwakaribisha wote kujumuika pamoja nasi kuchangia wenye uhitaji Nasi kwa pamoja tutaviwa...
19/03/2024

Habari za muda huu!? Tunapenda kuwakaribisha wote kujumuika pamoja nasi kuchangia wenye uhitaji
Nasi kwa pamoja tutaviwasilisha katika vituo mbalimbali❤️

Kwa kutambua nafasi ya wanawake wa nguvu duniani tunapenda kuwakaribisha siku ya leo uzunguni city park kwa ajili ya kus...
08/03/2024

Kwa kutambua nafasi ya wanawake wa nguvu duniani tunapenda kuwakaribisha siku ya leo uzunguni city park kwa ajili ya kusherekea kwa pamoja siku hii ya wanawake duniaani
Happy women’s day 😍💐

 @ 🇹🇿  na familia kwa ujumla poleni sanaa ❤️
17/02/2024

@ 🇹🇿
na familia kwa ujumla poleni sanaa ❤️

WITH LOVE FROM US UZUNGUNI CITY PARK 🎊🎄
25/12/2023

WITH LOVE FROM US UZUNGUNI CITY PARK 🎊🎄

Welcome ladies and gentlemen this Saturday; tell a friend to tell a friend and come join us on a pleasant evening . cc  ...
12/10/2023

Welcome ladies and gentlemen this Saturday; tell a friend to tell a friend and come join us on a pleasant evening . cc 🙏🏽

Karibu Uzunguni city park 😋
18/09/2023

Karibu Uzunguni city park 😋

FRUITS SALAD 🥗 Cc…
06/09/2023

FRUITS SALAD 🥗
Cc…

Moja Kati Kati Ya Chakula Pendwa hapa kwetu ni pamoja na Kuku Mnafu (black nightshade) unafaida nyingi sanaa kiafya ya m...
29/04/2023

Moja Kati Kati Ya Chakula Pendwa hapa kwetu ni pamoja na Kuku Mnafu (black nightshade) unafaida nyingi sanaa kiafya ya mwili Jaribu Siku ya Leo 😋🍽
Karibu 📍🇹🇿
Enquirers & delivery 🥡✅
☎️+255766306006.

Kuku Kienyeji (Chomachoma 🍗🍗Samaki choma +ugali +maharage Hapa ndo mahala pake😋😋Karibu uzunguni City Park Arusha mchana ...
18/04/2023

Kuku Kienyeji (Chomachoma 🍗🍗
Samaki choma +ugali +maharage Hapa ndo mahala pake😋😋
Karibu uzunguni City Park Arusha mchana wa leo
Weka oda yako mapema✅
☎️+255766306006

Habari za muda huu!? Ikiwa leo ni siku ya mwisho kupokea michango tunapenda kuwakumbusha wote walio toa ahadi muda ndo h...
07/04/2023

Habari za muda huu!? Ikiwa leo ni siku ya mwisho kupokea michango tunapenda kuwakumbusha wote walio toa ahadi muda ndo huu lakini pia
Tunawashukuru wote walijumuika nasi kutoa kile walicho guswa nacho asante na mungu awabariki❤️🙏🏼

Habari za leo zimebaki siku 2 kufikia hitimisho tunaomba kuendelea kuwakumbusha wote ambao wameguswa  kuchangia chochote...
06/04/2023

Habari za leo zimebaki siku 2 kufikia hitimisho tunaomba kuendelea kuwakumbusha wote ambao wameguswa kuchangia chochote wakati wako ndo huu karibu uzunguni City park ❤️🙏🏼
☎️+255756480709✅

Address

13269
Arusha

Telephone

0766306006

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uzunguni City Park posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share