Ask Me About Love And Relationships

  • Home
  • Ask Me About Love And Relationships

Ask Me About Love And Relationships Endless Comfort
Restaurant | Bar | VIP Lounge | Sports
For reservation 📞 +255 705 411 044 Only one warning. I don't need bad language and abuses. Love you all.

This blog aims at making better love and relationship to those friends who are involved and to those in relationship. I believe if we are faithful in our relationships and trying to make each other happy, even diseases like HIV/AIDS wont exist. For those having married lives you help me much in this as I don't mean only I can give advices but anyone. Welcome and lets enjoy.

Ube nesikhathi esimnandi
26/03/2024

Ube nesikhathi esimnandi

Easy Friday😊🥰
15/03/2024

Easy Friday😊🥰

06/01/2023

Je mke mwema ni yupi?

Mithali 31:10-31
Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani. Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake kwa moyo wote. Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali. Tena huamka, kabla usiku haujaisha; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao. Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. Hujifunga nguvu viunoni k**a mshipi; Hutia mikono yake nguvu. Huona k**a bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku. Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia. Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake. Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu. Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani. Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi. Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi. Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao. Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema iko katika ulimi wake. Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu. Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema, Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote. Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa. Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.





Chumvini
08/09/2022

Chumvini

Neno la leo
07/09/2022

Neno la leo

14/07/2022

Just Incase

Truth over lie
13/07/2022

Truth over lie

Address

Hungumalwa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ask Me About Love And Relationships posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your establishment to be the top-listed Bar/pub?

Share