Magole Lodge and Pub

Magole Lodge and Pub A good Lodge situated at the coolest and silent street of Magole in Kivule about 1 km from Njia Panda ya Shule Bus stop. "The Quality Makes the Difference"

Karibu MAGOLE LODGE & PUB kwa huduma bora na gharama nafuu.....All rooms are self Contained....Kivule kwa Pengo DSM. Pho...
16/08/2022

Karibu MAGOLE LODGE & PUB kwa huduma bora na gharama nafuu.....All rooms are self Contained....Kivule kwa Pengo DSM. Phone: +255715935565

Uongozi na wafanyakazi wa Magole Lodge and Pub unawatakia heri ya Sikuu ya Pasaka Watanzania wote.  #
12/04/2020

Uongozi na wafanyakazi wa Magole Lodge and Pub unawatakia heri ya Sikuu ya Pasaka Watanzania wote. #

Kwa vyumba vya bei nafuu na maridadi _ Full AC_ Dstv_Vyumba vyote ni self. Parking yakutosha. Kuanzia 10,000 TZS. Karibu...
18/08/2019

Kwa vyumba vya bei nafuu na maridadi _ Full AC_ Dstv_Vyumba vyote ni self. Parking yakutosha.

Kuanzia 10,000 TZS.

Karibuni sana.

Phone:_0717983220

#

Uongozi na wafanyakazi wa Magole Lodge and Pub unapenda kutoa hongera kwa timu ya Taifa _ Taifa Stars kwa kufanikiwa kut...
24/03/2019

Uongozi na wafanyakazi wa Magole Lodge and Pub unapenda kutoa hongera kwa timu ya Taifa _ Taifa Stars kwa kufanikiwa kutinga AFCON 2019. Hakika ni furaha kwa Watanzania wote popote pale walipo Duniani.

Uongozi wa Magole Lodge and Pub unaungana na watanzania wote katika kipindi hiki kigumu cha msiba mkubwa kwa Taifa letu....
21/09/2018

Uongozi wa Magole Lodge and Pub unaungana na watanzania wote katika kipindi hiki kigumu cha msiba mkubwa kwa Taifa letu. Mwenyezi Mungu awaponye manusura wote na waliofariki wapumzike kwa amani.

08/09/2018

Wadada wa kazi wanahitajika kwa mawasiliano 0717983220.

Mazingira safi nje na ndani,huduma bora na kwa bei nafuu. Karibuni wote   #
27/05/2018

Mazingira safi nje na ndani,huduma bora na kwa bei nafuu. Karibuni wote #

Karibu Magole Lodge and Pub kwa Huduma bora za Malazi, Vinywaji na Chakula. Usisahau Parking Nzuri na Kubwa kwa usalama ...
14/12/2016

Karibu Magole Lodge and Pub kwa Huduma bora za Malazi, Vinywaji na Chakula. Usisahau Parking Nzuri na Kubwa kwa usalama wa Chombo chako cha moto na Huduma nzuri toka kwa wahudumu wetu. Call +255659487725/ +255674411155. Welcome All.

R.I.P to those who dead and get well soon to the injured.
29/11/2016

R.I.P to those who dead and get well soon to the injured.

Mkurugenzi na wafanyakazi wote wa Magole Lodge and Pub unamtakia kila la kheri mtoto Gian Mecky Ndaboya kwa kumpokea Yes...
30/10/2016

Mkurugenzi na wafanyakazi wote wa Magole Lodge and Pub unamtakia kila la kheri mtoto Gian Mecky Ndaboya kwa kumpokea Yesu kwa mara ya kwanza kupitia Sakramenti takatifu ya ubatizo katika kanisa la Ukonga na baadae kufuatiwa na tafrija fupi iliyofanyika ndani ya ukumbi wa Magole Lodge and Pub. Mungu ambariki sana.

Mazingira tulivu na Parking yakutosha ndani ya Magole Lodge and Pub. Welcome All.   #. Phone +255659487725
12/10/2016

Mazingira tulivu na Parking yakutosha ndani ya Magole Lodge and Pub. Welcome All. #. Phone +255659487725

09/10/2016

Address

Kivule
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Magole Lodge and Pub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share