BANTU Gadern

BANTU Gadern KWA HUDUMA YA UKUMBI WA SHEREHE,MBALIMBALI,BAR,LORGE,BAR PAMOJA NA NIGHT CLUB INAYOTARAJIWA KUFUNGULIWA SIKU ZA KARIBUNI YOTE HAYO YAPO BANTU GARDEN

MSONGOLA HEALTH TRAINING INSTITUTE.  Chuo kimesajiliwa na NACTE  REG/HAS/178PChuo kinatangaza nafasi za masoma kwa mwaka...
24/07/2018

MSONGOLA HEALTH TRAINING INSTITUTE.

Chuo kimesajiliwa na NACTE REG/HAS/178P

Chuo kinatangaza nafasi za masoma kwa mwaka wa masomo 2018/2019

Kozi zitolewazo ni:-

111.Basic techinician certificate in clinical medicine NTA Level 4

2.Technician certificate in clinical medicineNTA Level 5

3.Ordinary diploma in clinical medicine

NTA level 6

SIFA ZA MUOMBAJI.

-Awe amemaliza kidato cha NNE na awe na ufauru katika masomo ya sayansi angalau physics -D chemistry -D Biology -D basic mathematics -D (CERTIFICATE )

- Kwa wale walio hitimu kidato cha sita Wataanza na DIPLOMA Awe amefaulu
Kidato cha nne awe c Biology na D mbili za masomo Chemistry na Physics

Chuo kina HOSTEL kwa wavulana na wasichana kwa wale wote wanao toka mikoa ya mbali .

CHUO KIPO MKOA WA DAR-ES - SALAAM WILAYA YA ILALA KINA MAZINGIRA MAZURI NA VIFAA VYA KISASA KWA KUFUNDISHIA PIA USAFIRI KWA WANAFUNZI WOTE.

Wahi kutuma maombi chuoni kwani nafasi ni chache.

KWAMAWASILIANO ZAID PIGA SIMU NO.

0713821625/0785921741

[email protected]
Website

Msongola Health Training Institute (MHTI) is at located at Mbondole village, Msongola ward, Ilala Municipality Dar es Salaam. Access to Mbondole village and to the Institute is easy, public transport is more readily available and convenient via the Kilwa road route.

Karibuni wadau, WAZEE WA NGWASUMA WATAKUWEPO NDANI YA NYUMBA, BANTU GARDEN
04/03/2017

Karibuni wadau, WAZEE WA NGWASUMA WATAKUWEPO NDANI YA NYUMBA, BANTU GARDEN

10/01/2017

Sehemu nzuri ya kufurahi ukiwa na rafiki yako ama familiya au mwenyewe ni BANTU GARDEN PEKEE matembele ya pili-kivule Dsm, club bora ya kisasa ipo +chakula bora +aina yoyote ya kinywaji kipo +ukumbi (sherehe) +nyumba ya kulala wageni. Karibuni Sana.

10/01/2017

Napenda kuwakaribisheni nyote mnaowaza na kujiuliza maswali bila majibu kuwa, ni wapi wikendi hii mtaenda kupumzika !!! ni BANTU GARDEN pekee ndipo panapokufaa kijana /mama /baba na wengineo pia. Mtaenjoyi pindi mtakapo fika mahali penu salama kabisa BANTU GARDEN matembele ya pili-kivule, zawadi kwa wateja wetu zipo. Services : restaurant & lodge & all type of drinks.

31/12/2016

BANTU GARDEN inaungana na watanzania wote katika sherehe kubwa ya kuupokea mwaka Mpya 2017, karibuni BANTU GADERN tuburudike na magoma ya kijanja kutoka kwa madj wetu ili tuukaribishe vyema huu mwaka Mpya 2017,. ahsanteni Sana wadau

31/12/2016

BANTU GARDEN ni club ya kisasa kabisa na ni moja ya club yenye mandhari bora kabisa, inatoa huduma zilizo bora zaidi eq. Restaurant, Lodge&drinks. utafurahi Sana endapo utapata nafasi ya kufika BANTU GARDEN, kwani ni sehemu iliyo bora kabisa ndani ya jiji la mh. Makonda es Salaam(kivule_matembele ya pili) Karibuni Sana wapendwa uje upate raha ya kipekee ndani ya BANTU Gadern.

Bila ya kukosa  wakazi wa kitunda,ukonga,kivule,msongora,mbande na maeneo ya jirani burudani ya kufa mtu pale pale club ...
17/03/2016

Bila ya kukosa wakazi wa kitunda,ukonga,kivule,msongora,mbande na maeneo ya jirani burudani ya kufa mtu pale pale club mpya ya bantu pub ndani ya bantu gadern yani mpaka majogoo yawike

HII NDO BANTU GADERN  NIGHT CLUB YA KISASA KWA ENEO LOTE LA UKONGA NA KITUNDA
18/02/2016

HII NDO BANTU GADERN NIGHT CLUB YA KISASA KWA ENEO LOTE LA UKONGA NA KITUNDA

23/12/2015

USIKU WA MSAGA SUMU NA UZINDUZI RASMI WA BANTU GARDEN NIGHT CLUB KIVULE MATEMBELE. TARE HE 24/12/2015 MKESHA WA CHRISMAS. ANAKULETEA NYIMBO ZAKE MPYA IKIWEMO SHEJI CHULA, NASAKA LIZIKI NA NYINGINE KIBAO AKISINDIKIZWA NA MADADA WAZURI WA TIMU BIBA AMBAO PIA WATAZINDUA ALBAMU YAO MPYA, BURUDANI ZOTE HIZI NI KWA KIINGILIO CHA SHILINGI 5,000 TUU. WOTE MNAKARIBISHWA.

Address

MATEMBELE KIVULE
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BANTU Gadern posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share