11/06/2026
Lunch power move 🫓🥩✨
Ugali wa moto na wet fry mororo yenye sosi nzito ya viungo—kamulia ndimu, ongeza pilipili, na malizia siku kwa nguvu na ladha ya kishua! 😋🔥
Bonyeza link kwenye Bio kuisoma menu
For Delivery & Takeouts
Tabata: 0746 251 111
Ubungo: 0658 251 111
WhatsApp: 0775 777 222