Kyela Store-Arusha

Kyela Store-Arusha Kyela store imejikita katika usambazaji na uuzJi wa mchele wa Kyela. Duka hili liko maeneo ya sekei baada ya kupita bar ya Big Y upande wa kulia.

Kyela store pia innauza na kusmbaza mafuta ya Arizeti.

25/01/2013

Hey wakazi wa Arusha, Kyela store inawatangazia kuwa ina mafuta ya Arizeti kwa bei ya shambani. Kwa anyehitaji awasiliane nasi

02/01/2013

heri ya mwaka mpya ndugu zangu.

26/12/2012

Kuoga hiari Chakula lazima

20/12/2012

Sasa Kyela Store ina stock kubwa ya mchele wa Kyela. Karibuni

29/11/2012

The losers in life think they have all the answers. They can’t learn because they’re too busy telling everyone what they know

28/11/2012

coming soon- packaging of our quality products

Mama anaanda wali kwa kutumia mchele wa kyela, hapo mtoto atumwi dukani, hasa ukipata mchele halisi wa Kyela-Kyela store...
27/11/2012

Mama anaanda wali kwa kutumia mchele wa kyela, hapo mtoto atumwi dukani, hasa ukipata mchele halisi wa Kyela-Kyela store watakusaidia kupata mchele halisi toka Kyela

27/11/2012

Kyela is famous for its quality rice. Market vendors all over the country often advertise their rice as coming from Kyela (even when it doesn’t). Kyela store will solve your problems by supplying quality rice from Kyela

Karibuni wali
26/11/2012

Karibuni wali

25/11/2012
22/11/2012

Hey watu wa Arusha sasa mnaweza pata mchele wa kyela usiochakachuliwa, k**a unahitaji niambie unahitaji kiasi gani? wakati ni wako sasa kupata radha harisi ya chakula

Address

Arusha

Telephone

+255755823558

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kyela Store-Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Kyela Store-Arusha:

Share