10/05/2013
Schwein Jumamosi tarehe 11 May
Karibuni wote kunywa mbege halisi kutoka Kilimanjaro. Kutakuwepo na mapambo ya Christmas yakumeremeta k**a Wachaga wanavyopenda, wakina mama weupe wa Kichaga wenye makalio yakutosha na miguu miembamba kwaajili ya kuwahudmia. Pia zitakuwepo nyimbo za Lucky Dube, Senzo, Yvonne Chakachaka za kusaidia kushusha kinywanji hiki murua.
Mbula mbula. Usikose kufika na pia mkaribishe Mushi, Lema, Mongi, Mallya, Kinabo, Minja, Kimario, Elinringamoo, Elibariki, Kiwia, Sawe, Usiri, Shayo, Kiwelu, Makundi, Mtui, Meela, Minja, Njau, Mashayo, Chao, Shao, Makawia, Ndesano, Kimario, Tilla, Mariale, Tarimo, Mafole, Kituo, Mrosso, Lyakundia, Kessy, Mmbando, Matemba, Ndenshau, Morio, Akaro, Matowo, Towo, Mkony, Temba, Swai, Massawe, Mushi, Urassa, Nkya, Ndosi, Meena, Moshiro, Mselle, Kileo, Kimambo, Tesha, Urasa na wengine wote. Aikambe.